Menu
 
MKURUGENZI WA JIJI ASEMA BARABARA IMETENGEWA MILIONI 400 KWA AJILI YA UKARABATI.
MKURUGENZI WA JIJI ASEMA BARABARA IMETENGEWA MILIONI 400 KWA AJILI YA UKARABATI.

UFAFANUZI:- Ukarabati wa barabara wa aina yake tofauti na utaalamu yakinifu, Mkurugenzi wa Jiji Bwana Juma Idd amesema hatua hii ni ya muda...

Read more »

NMB MBEYA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO IKUTI - MBEYA
NMB MBEYA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO IKUTI - MBEYA

Habari na chanzo chetu Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imetoa misaada ya maguni 112 ya mahindi, maharage magunia 23 na mafuta y...

Read more »

WATU WAWILI JINSI YA KIUME WAMEUAWA KWA UJAMBAZI - RUNGWE, MBEYA
WATU WAWILI JINSI YA KIUME WAMEUAWA KWA UJAMBAZI - RUNGWE, MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Rungwe. Watu wawili jinsi ya kiume wamekutwa wameuawa na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Kinyika, ...

Read more »

MDAHALO WA KATIBA MPYA TUNDUMA - MBOZI
MDAHALO WA KATIBA MPYA TUNDUMA - MBOZI

Habari na chanzo maalum. Diwani wa kata ya Tunduma Frank Mwakajoka amesema kuwa katika katiba mpya inayotarajiwa kuandikwa ni muhimu Rais ...

Read more »

MUJATA - JESHI LA POLISI HALIWEZI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU BILA KUSHIRIKIANA NA JAMII
MUJATA - JESHI LA POLISI HALIWEZI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU BILA KUSHIRIKIANA NA JAMII

Habari na mwandishi wetu Chama cha Muungano wa Jamii Tanzania (MUJATA) kimesema kuwa Amani na utulivu kamwe haiwezi kudumishwa na jeshi la...

Read more »

WANANCHI WAFICHUA TUHUMA KWA JESHI LA POLISI KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UNYANYASAJI NA RUSHWA - MBOZI MKOANI MBEYA
WANANCHI WAFICHUA TUHUMA KWA JESHI LA POLISI KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UNYANYASAJI NA RUSHWA - MBOZI MKOANI MBEYA

Habari na chanzo chetu. Wananchi wa wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wamelipua lawama jeshi la polisi wilayani humo kwa kujihusisha na vitendo...

Read more »

SARUJI YATUMIKA KUKARABATI BAADHI YA BARABARA YA LAMI - MBEYA
SARUJI YATUMIKA KUKARABATI BAADHI YA BARABARA YA LAMI - MBEYA

Ukarabati wa barabara wa aina yake tofauti na utaalamu yakinifu, mtandao huu umeshuhudia ukarabati ukiendelea eneo la Kanisa la Sabato bar...

Read more »

UFUNDI STADI:- BINTI MDOGO AJIHUSISHA NA UTENGEZAJI WA PIKIPIKI GEREJINI.
UFUNDI STADI:- BINTI MDOGO AJIHUSISHA NA UTENGEZAJI WA PIKIPIKI GEREJINI.

Binti huyo pichani Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kiku...

Read more »

UHABA WA MAFUTA MBEYA BAADHI YA WATEJA WAGOMEWA KUUZIWA MAFUTA HAYO.
UHABA WA MAFUTA MBEYA BAADHI YA WATEJA WAGOMEWA KUUZIWA MAFUTA HAYO.

 Baadhi ya wateja wa mafuta wakiwa katika foleni katika kituo cha mafuta cha GAPCO kilichopo eneo la Mafiati jijini Mbeya kutokana na uhab...

Read more »

BENKI KUU YA DAMU NYANDA ZA JUU KUSINI INAKABILIWA NA UHABA WA DAMU SALAMA.
BENKI KUU YA DAMU NYANDA ZA JUU KUSINI INAKABILIWA NA UHABA WA DAMU SALAMA.

Picha ni mmoja wa wanafunzi walioguswa na zoezi la uchangiaji wa damu salama, kutokana na Benki ya damu ya nyanza za juu kusini kukabiliwa...

Read more »

MISAADA YAENDELEA KUTOLEWA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO - MBEYA.
MISAADA YAENDELEA KUTOLEWA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO - MBEYA.

Mvua kumbwa iliyonyesha Desemba 18, mwaka huu majira ya saa 8 mchana katika mtaa wa Ikuti Kata ya Iyunga, wilaya ya Mbeya, imebomoa zaid...

Read more »

KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA LAINGIA DOSARI
KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA LAINGIA DOSARI

Habari na Mtandao huu Kanisa katoliki jimbo la Mbeya limeingia dosari baada ya Padri Inosent Sanga anayesimamia masuala ya elimu ya jimbo ...

Read more »

Wafanyakazi wote wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale wanakutakia Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2012.
Wafanyakazi wote wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale wanakutakia Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2012.

"Kwa marafiki na wasikilizaji wetu barani Afrika na duniani kote kwa ujumla, Wafanyakazi wote wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Int...

Read more »

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZA ATHIRI MAKAZI NA MIUNDOMBINU MBEYA
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZA ATHIRI MAKAZI NA MIUNDOMBINU MBEYA

Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Bwana Juma Idd(kushoto), akizungumza na Diwani wa kata ya Uyole baada ya kata yao kukumbwa na mafuriko mak...

Read more »

MJOMBA AMCHOMA NA KAA LA MOTO MPWA WAKE KIGANJANI KWA TUHUMA ZA KUKOSA ADABU.
MJOMBA AMCHOMA NA KAA LA MOTO MPWA WAKE KIGANJANI KWA TUHUMA ZA KUKOSA ADABU.

Mtoto Oscar Oliver (17), mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya akiwa ndani ya ofisi za Jeshi la Polisi zilizopo Kituo cha Kati Mbeya, baada ya kuc...

Read more »

NYUMBA YA MWANDISHI WA HABARI YAVAMIWA NA KUIBIWA MALI ZAKE - MBEYA.
NYUMBA YA MWANDISHI WA HABARI YAVAMIWA NA KUIBIWA MALI ZAKE - MBEYA.

Habari na Gordon Kalulunga, Mbeya  Mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe mkoani Mbeya Bwana Thobias Mwanakatwe amevamiwa na majambazi n...

Read more »

PADRI AWATIMUA WALIMU 7 KAZINI NA KUWATUPIA VYOMBO VYAO NJE, BILA KUJALI MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA MBEYA
PADRI AWATIMUA WALIMU 7 KAZINI NA KUWATUPIA VYOMBO VYAO NJE, BILA KUJALI MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA MBEYA

Padri Mbeya atimua walimu *        Walala nje siku mbili *        DC ashuhudia ******   Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Padri wa Jimbo ...

Read more »

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abass Kadoro akikabidhi baadhi ya msaada kwa waathirika wa janga la mafuriko.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abass Kadoro akikabidhi baadhi ya msaada kwa waathirika wa janga la mafuriko.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abass Kadoro akikabidhi baadhi ya msaada kwa waathirika wa janga la mafuriko lililoathiri Kata ya Ikuti nje kidogo ya ...

Read more »

MISAADA YA NOELI NA MWAKA MPYA
MISAADA YA NOELI NA MWAKA MPYA

Mkuu wa Wilaya Mbeya Evans Balama akikabidhi msaada wa Mchele, Mbuzi na Mafuta ya kula kwa watoto wa Gereza la watoto watukutu Jijini Meya j...

Read more »

MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI MH JOSEPH BAADA YA KUSHINDA KESI.
MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI MH JOSEPH BAADA YA KUSHINDA KESI.

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akizungumza nje ya mahakama ya Mkoa wa Mbeya jana muda mfupi baada ya kufutiwa kwa kesi iliyokuwa ikim...

Read more »

MAFURIKO JIJINI MBEYA
MAFURIKO JIJINI MBEYA

Mafuriko Mitaro:-Wakazi wa Kata ya Ikuti iliyopo nje kidogo ya Jiji la Mbeya wakirekebisha mtaro ambao uoliharibiwa vibaya na mafuriko yaliy...

Read more »

UFUNDI STADI
UFUNDI STADI

Binti huyo pichani Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kikubwa ...

Read more »

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI ARUSHA YAAHIRISHA KESI YA CHADEMA
MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI ARUSHA YAAHIRISHA KESI YA CHADEMA

NA GLADNESS MUSHI WA FULLSHANGWE-ARUSHA Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa chama cha Demokra...

Read more »

MVUA KUBWA YABOMOA NYUMBA 30, MMOJA AFARIKI DUNIA , ZAIDI YA WANANCHI 100 WAKOSA MAHALI PAKUISHI JIJINI MBEYA
MVUA KUBWA YABOMOA NYUMBA 30, MMOJA AFARIKI DUNIA , ZAIDI YA WANANCHI 100 WAKOSA MAHALI PAKUISHI JIJINI MBEYA

Mvua kubwa iliyonyesha Desemba 18, mwaka huu majira ya saa 8 mchana katika mtaa wa Ikuti Kata ya Iyunga, wilaya ya Mbeya, imebomoa zaidi y...

Read more »

KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA MWAKA TUNDUMA WAKABIDHI ZAWADI KWA WATOTO YATIMA.
KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA MWAKA TUNDUMA WAKABIDHI ZAWADI KWA WATOTO YATIMA.

Mchungaji wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Mwaka Tunduma mkoani Mbeya Anyandwile Kajange, akila chakula na watoto yatima, wajane na wanao...

Read more »

GARI YA MIZIGO MALI YA DHANDHO LATEKETEA KWA MOTO
GARI YA MIZIGO MALI YA DHANDHO LATEKETEA KWA MOTO

Gari ya mizigo aina ya Scania ambayo nambari yake ya usajili haikuweza kufahamika, linalomilikiwa na Kampuni ya DHANDHO ambayo hujihusisha...

Read more »

BEI ZA PEMBEJEO ZA KILIMO ZAPANDA KILA KUKICHA MKOANI MBEYA
BEI ZA PEMBEJEO ZA KILIMO ZAPANDA KILA KUKICHA MKOANI MBEYA

Mifuko ya Mbolea aina ya DAP *****  Habari na Picha na Mtandao huu. Licha ya Serikali kutunga sera yenye lengo la kumkomboa mkulima, Sera hi...

Read more »

WANAFUNZI ELFU KUMI WASHINDWA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA MKOANI MBEYA
WANAFUNZI ELFU KUMI WASHINDWA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA MKOANI MBEYA

Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya Msingi Kambarage iliyopo jijini Mbeya wakifurahia na kushangialia baada ya kumaliza kufanya mt...

Read more »

WAFUNGA BARABARA BAADA YA MKAZI MMOJA KUGONGWA NA GARI NA KISHA KUFARIKI - MBARALI
WAFUNGA BARABARA BAADA YA MKAZI MMOJA KUGONGWA NA GARI NA KISHA KUFARIKI - MBARALI

Pikipiki nambari T 156 BRE iliyokuwa ikiendeshwa na Bwana Abinel Maliva iligonga kwa nyuma gari nambari T 605 BBK aina ya Toyota RAV4 il...

Read more »

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ATEKELEZA AHADI YA UJENZI WA MAKTABA JIMBONI KWAKE MKOANI MBEYA.
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ATEKELEZA AHADI YA UJENZI WA MAKTABA JIMBONI KWAKE MKOANI MBEYA.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi, Mheshimiwa Philipo Mulugo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Songwe wilaya ya Chunya mkoani Mbey...

Read more »

WANACHUO WAGUSHI MUHURI WA BENKI, WATAFUNA ADA MILIONI 12 MKOANI MBEYA.
WANACHUO WAGUSHI MUHURI WA BENKI, WATAFUNA ADA MILIONI 12 MKOANI MBEYA.

Wanachuo 33 wa chuo cha Ilemi Polytechnic College wamefuja shilingi milioni 12, 450,000 za kitanzania, ada ambazo walipasa kulipa kwa ajil...

Read more »

MAFANIKIO KATIKA UENDESHAJI WA CHUO CHA UFUNDI CHA MORAVIAN(MVTC) - MBEYA
MAFANIKIO KATIKA UENDESHAJI WA CHUO CHA UFUNDI CHA MORAVIAN(MVTC) - MBEYA

Mgeni rasmi wa mahafali ya 11 ya chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi  Mkuu wa...

Read more »
 
Top