Menu
 

 

Ni ngoma mpya iliyopo katika Mfumo wa ORIGINAL & EXTENDED VISION toka kwa Mwanadada wa Kundi la LA FAMILIA lenye Masikani yake ILALA, Jijini DAR ES SALAAM.

Ngoma inakwenda kwa Jina la CHIKU ANAONGEA akiwa ameshirikiana na Mkali mwingine toka LA FAMILIA CHID BEENZ aka KING KONG.


So, Eee Bwana eee Kupitia kipindi cha KALI ZA BOMBA na BOMBA SPECIAL SHOW Usikose kutegea sikio lako kuipata Ngoma hii na utapata sikia ACAPELLA tu katika kipengele cha BATTLES BANGS.

Vilevile waweza kutoa ushauri wako kupitia SMS andika BM acha nafasi, Andika ujumbe na Tuma kwenda 15551 amba tembelea katika Ukurasa wa Facebook BOMBA SPECIAL SHOW andika ujumbe wako utasomwa Live kupitia vipindi.

Imehaririwa na Chris B (Bigboy/Billionaire)

Post a Comment

 
Top