Menu
 

Taarifa zaonyesha kuwepo kwa beef mpya toka pande za Obama Beibii ambazo zinaendelea kwenye mtandao wa twitter aka twitter war,kama ilivyotokea kwa Rihanna vs Ciara,Keyshia Cole vs Lil Kim,Kanye vs Britney na nyingine kibao lakini kwa sasa kuna twitter beef mpya ya Artist Chris Brown vs Artist Frank Ocean

 
Na hapa ni vielelezo vya chat room CHRIS BROWN vs FRANK OCEANChris Brown alim-mind Frank Ocean coz alikwenda kwenye mazoezi yake ya kucheza aka dance rehearsal na Frank Ocean akasepa kwa sababu anazojua yeye bila hata kumpa hi...Breezy na Breezy alikasirika kwa kitendo hicho na beef yao kuanza kwenye twitter.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu…………..

 BUJU BANTON AHUKUMIWA MIAKA 10 JELA
Artsit wa Reggae na Dancehall toka Jamaica Mark Myrie aka Buju Banton,amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kufadhiri na kujihusisha na madawa ya kulevya mwaka 2009

Buju Banton pia ni mshindi wa tuzo za Grammy amehukumiwa nchini Marekani, na alitiwa hatiani kwa ushahidi wa video baada ya kuonekana aki-test cocaine kama ni yenyewe pande za Florida

Post a Comment

 
Top