Menu
 

Rapper mkali toka pande za Obama nzungumzia Marekani Missy Elliott amesema amekumbwa na matatizo ya koo yaliyopelekea nywele zake kutoka na kushindwa kufanyakazi kwa mishipa ya fahamu .
  

 
Lakini hali yake inaendelea vizuri akiwa chini ya uangalizi wa madaktari.
             Hapa namnukuu “ mishipa yangu ya fahamu ilishindwa kufanya kazi kwa muda wa nusu saa’’ mkali huyo alisema katika kipindi kinachorushwa na CNN & MNET.

OPRAH WINFREY KUPEWA SHADA YA  PHD YA UHABARISHAJI.
 
Mtangazaji na muaandaaji wa vipindi wa Televisheni ya MNET toka Marekani OPRAH WINFREY amepewa mwaliko wa kutembelea chuo Kikuu cha FREE STATE kilichopo Africa kusini amabapo anatarajiwa kupewa Shahada ya PHD ya mambo ya Habari za jamii za kimataifa.

Mnamo mwaka 2006 nyota ya Mwanadada huyo iliaanza kung’aa kutokana na kuaanda programu zinanzohusu  maisha halisia ya mwananmke Mweusi katika kudumisha utamaduni.


MOVIE 5 KALI ZILIZOTANJWA TOKA HOLLYWOOD.
 
 Kampuni ya kusambaza na kuatengeneza  filmau toka pande za Obama ya Disney Enterprises and Pixar Animation Imerelease filamu tano zinazofanya vyema kwenye chati za HOLLYWOOD.

      Na hii ni moja ya kielelezo cha Movie hizo.

 Movie hizo ni pamoja na:-
 “AP events”
 "TOY STORY,"
 "CARS 2"
• "WALL-E" (2008): •
"The Incredibles" (2004):

Imeandaliwa na Kueditiwa:- Tony TheBest & Chris B a.k.a Dad am so Hood.


Post a Comment

 
Top