Menu
 


MI NI PRODUCER WAKE NAITWA MANYEKO,HII NYIMBO MPYA YA MSANII WETU MPYA DETAILS ZAKE HIZAPO,
Dread cash ft, Steve R&B,
Song: Vile ulivyo,
Prod: Manyeko,
Studio: XL media,
Call: 0715 989858,

TUNAOMBA MSAADA WAKO WA PROMO TUNAKUTEGEMEA.
So, Eee Bwana eee Kupitia kipindi cha KALI ZA BOMBA na BOMBA SPECIAL SHOW Usikose kutegea sikio lako kuipata Ngoma hii.

Vilevile waweza kutoa ushauri wako kupitia SMS andika BM acha nafasi, Andika ujumbe na Tuma kwenda 15551 amba tembelea katika Ukurasa wa Facebook BOMBA SPECIAL SHOW andika ujumbe wako utasomwa Live kupitia vipindi.

Imehaririwa na Chris B (Bigboy/Billionaire)

Post a Comment

 
Top