Menu
 

Shaa amechaguliwa kuwakilisha Tanzania katika stage ya Big Brother Africa Amplified jumapili hii ya tarehe 26 kwenye the Eviction Show which shows kila Jumapili from 0800pm. Kwa mujibu wa management team yake, Shaa anatarajia kuperform nyimbo mbili, ikiwemo CRAZY ambayo ndiyo iliyompatia nafasi hiyo.
 
Inasemekana kuwa mkali huyu wa stage ameandaa show nzuri na ya kuvutia, kama kawaida yake, na vilevile ata-introduce a remix version ya CRAZY iliyodundwa na Marco Chali wa MJ Records.


 Shaa ni msanii wa tatu kutuwakilisha Tanzania katika stage ya Big Brother Africa baada ya Witness na AY kufungua dimba. Mwanadafada huyu amesema atakuwa anatukeep updated kuhusu safari yake hiyo kwa kupitia akaunti yake yaTwitter(Shaa_tz) na Facebook (shaa.facebook.com) hivyo basi kama shabiki wake unaweza kupata data kamili kupitia humo.

Check out "Shaa Ndani ya Big Brother Africa Amplified" on GongaMx:
http://ning.it/jm0tVi

Post a Comment

 
Top