Menu
 
Kamati Maalumu Ya Wanafunzi Wa Chuo Cha Ustawi Wa Jamii. Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Kamati Maalumu Ya Wanafunzi Wa Chuo Cha Ustawi Wa Jamii. Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari

Msemaji wa Kamati Maalumu ya Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Boniface Benezeth, akisoma taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pic...

Read more »

WAANDISHI WA HABARI MACHACHARI MKOANI MBEYA KWA MWAKA 2007
WAANDISHI WA HABARI MACHACHARI MKOANI MBEYA KWA MWAKA 2007

Hawa ni waandishi   wa habari mkoani mbeya kwa miaka minne iliyopita wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano wa MKAPA uliopo jijini Mbeya na kupiga...

Read more »

MAANDALIZI YA NANENANE MKOANI MBEYA NI GUMZO
MAANDALIZI YA NANENANE MKOANI MBEYA NI GUMZO

Moja kati ya mabanda ya Maonesho yaliyowekwa katikka hali ya usafi             Mafundi rangi wakiwa kazini wakipaka rangi             Lango ...

Read more »

BEI ZA MAZAO ZA BADIRIKA MARA KWA MARA SOKO LA SIDO MWANJELWA MBEYA.
BEI ZA MAZAO ZA BADIRIKA MARA KWA MARA SOKO LA SIDO MWANJELWA MBEYA.

Bei za mazao ya vyakula katika soko la Sido Mwanjelwa jijini mbeya zimekuwa zikibadilika mara kwa mara kutokana na kupanda kwa gharama za uz...

Read more »

JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KUENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI WA MGOGORO
JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KUENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI WA MGOGORO

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mbeya ADVOCATE NYOMBI amesema jeshi lake linaendea na uchunguzi ili kubaini ukweli wa mgogoro kati ya...

Read more »

MAITI YA MTOTO MCHANGA YATUPWA JALALANI MBEYA.
MAITI YA MTOTO MCHANGA YATUPWA JALALANI MBEYA.

Maiti ya mtoto mchanga imekutwa ndani ya mfuko wa Rambo uliotupwa kwenye dampo la shule ya msingi ya Sinde liliyopo kata ya Ruanda mtaa mto...

Read more »

Mwanamuziki Ludacris atua jijini Dar,tayari  kukamua live kwenye tamasha la serengeti fiesta 2011 lidaz club.
Mwanamuziki Ludacris atua jijini Dar,tayari kukamua live kwenye tamasha la serengeti fiesta 2011 lidaz club.

Mwanamuziki Ludacris akizungumza jioni hii ndani ya Kempinsk hotel na Clouds TV,mara tu alipowasili jiji Dar..Ludacris ameahidi kukamua vi...

Read more »

NAIBU WAZIRI WA CHINA ATEMBELEA DODOMA LEO
NAIBU WAZIRI WA CHINA ATEMBELEA DODOMA LEO

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Utamaduni Anjela Ngovi akimvalisha kanga naibu waziri wa Utamaduni wa China Zhao Shaohua wakati naibu...

Read more »

LATEST NEWS: MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WANORWAY WALIOLIPULIWA NA BOMU
LATEST NEWS: MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WANORWAY WALIOLIPULIWA NA BOMU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi Mdogo wa Norway nchini Tanzania, Svei...

Read more »

NI NANE NANE VODACOM KUMEKUCHA .. PATA SIMU BUREE
NI NANE NANE VODACOM KUMEKUCHA .. PATA SIMU BUREE

VODACOM KAZI NI KWAKO

Read more »

UONGOZI WA CHIMALA SACCOS HAUTENDI HAKI WAKATI WA KUTOA MIKOPO,
UONGOZI WA CHIMALA SACCOS HAUTENDI HAKI WAKATI WA KUTOA MIKOPO,

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamesema uongozi wa Chimala Saccos umekuwa hautendi haki wakati wa kutoa mikopo kw...

Read more »

SHAMSI VUAI NAHONDHA VIJANA WAPEWE ELIMU JUU YA UMUHIMU WA WAZEE
SHAMSI VUAI NAHONDHA VIJANA WAPEWE ELIMU JUU YA UMUHIMU WA WAZEE

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, amewataka Watanzania kutoa elimu kwa vijana juu ya umuhimu wa kuwepo kwa wazee i...

Read more »

DC - Chunya atoa onyo kwa wenzake
DC - Chunya atoa onyo kwa wenzake

Mkuu wa wilaya ya Chunya Mheshimiwa Deodatus Kinawiro. Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro amesema kuwa wakuu wa wilaya tisa zin...

Read more »

Benki ya CRDB tawi la mbeya imetoa mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 300
Benki ya CRDB tawi la mbeya imetoa mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 300

  Benki ya CRDB tawi la mbeya imetoa mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 300 kwa wakulima wadogowadogo wa chai wa wilaya ya Rungwe ili waon...

Read more »
 
Top