Menu
  Army akiwa na mama yake mzazi

Mwimbaji maarufu mwanamke wa Uingereza, Amy Winehouse, amekutwa amekufa katika gorofa yake mjini London .Amy alikuwa na umri wa mika 27 tu, enzi za uhai wake aliwahi kushinda alishinda tuzo kadha kwa albamu yake ya pili, Back to Black, ambayo ilitolewa mwaka wa 2006. Hadi sasa sababu ya kifo chake haijajulikana bado. Lakini mwimbaji huyo amekuwa akipambana na matatizo ya ulevi na mihadarati kwa muda mrefu , mara nyingi Army alitokeza kwenyema tamasha huku amelewa.

THE GAME AWA-DIS JIGGA NA KANYWE WEST KUPITIA NGOMA YA UNCLE OTIS. 

 “Here’s a dome shot to this nigga named Otis/Niggas think they the coldest,but nigga you just the oldest/Niggas be chasing they youth,but it’s gone” VERESE ya diss Game akishirikiana na DJ SKee, ame-release ngoma iitwayo Uncle Otis akiwa-diss Jigga na Kanye.


 Game anatarajiwa kudondosha studio album yake ya 4,The R.E.D. Album ambayo itakua released August 23,2011 kupitia Aftermath Entertainment na Interscope Records na imechelewa kwa miaka 2 tangu 2009


Sababu za West Coast Rapper,Jayceon Terrell Taylor aka The Game kuibuka na kuwa-diss Kanye West na Jay Z baada ya ngoma ya Kanye na Jigga iitwayo Otis kuvuja..

HAPPY BIRTHDAY GREYSON SALUFU CHATANDA a.k.a CHRIS BEE/DAD FROM BOMBA FM RADIO.

 Chris Bee a.k.a Dad akiwa na dada yake Aziza Khasim.
Jamaa ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Redio kilichopo Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini Tanzania, Nazungumzia Bomba FM Redio 104.0MHz mkoani Mbeya.

Utapata kumsikia katika kipindi cha KALI ZA BOMBA kwenye kipengele cha RED CARPET kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa, Pia kipindi cha BOMBA SPECIAL SHOW kila Jumatatu mpaka Alhamisi kuanzia saa 4 usiku mpaka 7usiku na Hatimaye katika kipindi cha BOMBA TOP TEN kila Jumamosi kuanzia Saa 8 mchana mpaka 9.

Happy birthday brada Per more jah sana!!  

Post a Comment

 
Top