Menu
 

 Amezaliwa 18 - Jul - 1918   Nelson Mandela na anatimiza umri wa miaka 93.
Rais wa awamu ya kwanza wa Afrika kuzini aliyepigani kupata uhuru mwaka nchi hiyo. Chief henry Mandela
Kabila la TEMBU
Alihitimu Chuo Kikuu cha Witwatersrand ngazi ya Elimu ya Sheria 1942.
Alijiunga na ANC 1944
Na alifungwa miaka 18 KUANZIA 1964 HADI 1982

NDOA NDOANO JENNIFER LOPEZ na MARK ANTHONY WAACHANA!
Msanii wa miondoka ya RnB Jennifer Lopez aka J-LO ametangaza kuachana na mume wake ambaye ni mwanamuziki na Mwigizaji MARC ANTHONY baada ya miaka saba ya ndoa
 
 
J Lo na Marc Anthony walioana  June 2004 pande za Beverly Hills na kwa pamoja wamezaa WATOTO MAPACHA Wenye miaka umri wa miaka 3, Max na Emme waliozaliwa February 2008,

Na ndoa hii ilikua ni ya 3 kwa Jennifer Lopez na ya 2 kwa Mark Anthony mwenye miaka 42 ambaye aliuza albamu zaidi ya milioni 11 huku Jennifer Lopez akianza muziki mwaka 1999 akitamba na hit single yake If You Had My Love

P SQUARE KUZINDUA ALBUM JULY 30, 2011.
Paul na Peter Okoye aka P Square toka Nigeria,wametangaza kupiga show ya album concert kwa fans wao walioko nchini ambapo mpaka hivi sasa wanajumla ya album 4,Last Nite,Get Squared,Game Over na Danger, Hali kadharika wapo kwenye mchakato wa kuzindua studio album yao ya 5,na wanachagua dancers wa kufanya nao mazoezi na dancers na wameahidi kupiga bonge la show. 
   
                                       


Album ya P-Square itakua na ngoma 10 au 13 na mpaka sasa wameshaachia single zao 2,Foreevr na Buneiya Enu itazinduliwa tarehe 30th July,2011 pande za New Expo hall ulilopo Eko Hotel and Suites

Post a Comment

 
Top