Menu
 

 Na hii ni Text yake “daah cna jipya,ila tupo mbioni na Aveli kuzama tena studio kwa ajili ya kitu cha kufungia mwaka huu wa 2011...baada ya kutoa BADO TUPO, tunazama tena studio...mashabiki wa KAPITO LETAZ WAKAE TAYARI”

MIEZI 8 YA KIFUNGO YAISHA MKALI WA RAP DMX ADONDOKA KITAA BAADA YA KUMALIZA KIFUNGO.

 Mwazilishi na kiongozi wa kundi la RUFF RYIDES Rapper DMX ambaye jina kamili EARL SIMMONS ameachiwa toka jela ya Arizona maeneo ya Yuma alipokua akitumikia kifungo cha miezi 8, toka alivyohukumiwa mwezi January 2011 
 
AZIZ AZION NDANI YA MAFANIKIO YA KUZINDUA ALBAMU MWISHONI MWA SEPTEMBA
 
Mkali wa miondoko ya RnB toka Uganda,Azizi Azion Mukisa anatarajiwa kuzindua album yake inayokwenda kwa jina la MY OXYGEN September 30,2011 katika viwanja vya Kati Kati

 
AZION amezitaja Ngoma zilizopo katika albamu hiyo kuwa ni pamoja na
1.My Oxygen,
2..Beera Nange
3.Oh Uganda featuring Mwamba Choir,
4.Your Love na
Kila la kheri mafanikio Mema ma home Boy!!
    DIDDY ASHITAKIWA KWA KUSHINDWA KUIMALISHA ULINZI.
                


Msanii wa miondoko ya Hip Hop na Mwanamemba na Bosi wa Kundi la DIRTY MONEY, DIDDY ambaye jina lake kamili ni Sean Combs ameshitakiwa na jamaa anaye kewnda kwa jina la Leroy "Tony" Austin ambaye aliyejeruhiwa wakati akipata ….Kokoto….. kwenye Restaurant inayomilikiwa na Diddy huko Atlanta,

Kushitakiwa kwa Diddy kunatokana na kushindwa kuweka ulinzi wa kutosha katika Restaurant yake, hali iliyopelekea TONY kujeruhiwa na risasi akiwa na jama mwingine November,2010 pande za Justin's Restaurant & Bar wakiwa eneo la parking na Leroy Austin amefungua mashitaka hayo kwenye mahakama ya Northern Georgia

Post a Comment

 
Top