Menu
 

 Lango ku la Uwanja wa JOHN MWAKANGALE maarufu kama Nanenane huko Uyole jijini Mbeya. Na picha kwa hisani kubwa ya Mbeya Yetu Blogu.
 Zimebaki siku chache tu kuanza kwa maonyesho ya kilimo yaani sikukuu ya wakulima nane nane
huku kukiwa hakuna dalili zozote za kuanza kwa maandalizi hayo maonyesho hayo yataanza
tar 1 / 8 / mpaka 8 / 2011


VIWANJA VYA MWAKANGALE – NANENANE – UYOLE

Wakulima 50 kutoka halmashauri za Kanda ya Nyanda za Juu Kusini watashiriki katikakuonesha shughuli za kilimo katika meonesho ya wakulima NANENANE ambayo yanatarajia kuanza agasti mosi mwaka huu kwenye uwanja wa JOHN MWAKANGALE.

Meneja wa uwanja wa maonesho hayo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bwana KASILATI MWAKIBETE amesema kuwa halmashauri zote zimethibitisha ushiriki wao na kwamba hatua inayoendelea hadi sasa ni ya kushindanisha wakulima katika shughuli za kilimo.

Kauli mbinu ya maonesho ya kilimo nanenane mwaka huu KILIMO KWANZA TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNAZIDI KUSONGA MBELA.

Post a Comment

 
Top