Menu
 

Amesema bado hajatoka lakini ameona mwanga tu wa Gemu la muziki wa kizazi kipya hivyo mashabiki waendelee kum-support.


UTATA WA KAULI.
NEY WA MITENGO KAULI USIPENDE KUTUMIA!! Katika Interview:-
"AMEDAI KUWA MAFANIKIO ALIYOYAPATA HIVI SASA KATIKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI NI JITIHADA ZAKE BINAFSI, HAJAITAZAMA MEDIA AMBAYO INAMPA SUPPORT KUBWA KUMTANGAZA, DJ ANAYEPIGA NGOMA ZAKE, PRESENTER ANAYEMTAJA NA KUMPIGIA PROMO, HAJAMTAZAMA MSIKILIZAJI/MTAZAMAJI/SHABIKI WAKE ANAYENUNUA ALBAMU/NGOMA ZAKE/HAJAMTAZAMA PROMOTA WA SHOW ANAYEMPA CHAMBI NA AKAENDESHA MAISHA YAKE/ HAJAMTAZAMA ANAYEJIINGIZIA PESA KWA KUWACHOMEA CD WATEJA WANAOHITAJI NGOMA ZAKE.

MIKAKATI YA KUWASAIDIA MA-UNDERGROUND.
Msanii anayeanza atam-support lakini kwa kuanza hivyo kaanza na msanii SHADE LOVE ngoma inaenda kwa jina la….. BUSY…  ambaye ni zao lake binafsi katika Gemu la muziki wa kizazi kipya!!.

BIFU NA BABA LEVO toka TMK HALISI.
Haweze kufanya bifu na BABA LEVO ni mtoto mdogo sana labda afanye bifu na DOGO JANJA na huenda Dogo janja pia akaibuka mshindi.

Post a Comment

 
Top