Menu
 

Mambo vipi, ukiwa kama mdau ninapenda kukutaarifu kuwa video ya wimbo wa "KIFUNGO HURU" wa Csir Madini msanii mpya kutoka Tetemesha Records imekamilika, hivyo wewe kama mdau tunapenda kukupa umuhimu wa kuiona kwanza kabla haijaanza kuruka kwenye vituo vya television. 
Video Details:
Shooting date:15th May 2011
Locations: Dar es salaam
Director: Adam Juma / Next Level
Thanx for ur support.
Kid bwoy, Tetemesha Recordz (+255 713 131073)

Post a Comment

 
Top