Menu
 


Hivi karibuni Msanii toka Senegal anayeishi nchini Marekani,

1.Akon kushika namba moja kama artist maarufu na mwenye kipaji barani Africa,
2. 2face Idibia toka Nigeria
3.P-Square pia toka Nigeria
4.D-Banj Nigeria,
5. Yvone Chakachaka toka Sauz
6. Jose Chameleone Toka Uganda.

Uteuzi huo minong’ono yaibuka!!
MAURICE KIRYA

Mkali wa Soul toka Uganda Maurice Kirya amefunguka kuwa aliyefanya uteuzi huo alikua hayuko makini au hajui alitendalo,coz haiwezekani Chamelone akawashinda ma-legendary wa muziki toka Africa kama Grammy award winner toka Senegal,Youssou N’Dour, Salif Keita toka Mali, Oliver Mtukudzi toka Zimbabwe, Hugh Ramopolo Masekela toka Afika Kusini, Jonathan Butler, Femi Kuti, Dr Victor, Baba Marley, Manu Debango.

Pia alihoji kama Chamelone anaweza akapiga show kwenye ukumbi wowote mkubwa barani Ulaya kama Amsterdam Paradiso na tuone watu wangapi watahudhuria.

Post a Comment

 
Top