Menu
 

Norwich City's Grant Holt challenges Chelsea's John Terry and Henrique Hilario


Mchezaji Wa Chelsea John Terry Akigombania Mpira ambao tayari kipa wa Norwich ameshaudaka huku mchezaji Wa Norwich akimsaidia Kipa wakeJose Bosingwa celebrates after scoring Chelsea's first goal as Norwich City's Andrew Crofts looks dejected


Jose Bosingwa akishangilia Goli la kwanza alilolipatia timu yake ya Chelsea katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza Dhidi ya Norwich


Chelsea's Didier Drogba receiving treatment after being knocked unconscious after a collision with Norwich City's goalkeeper John Ruddy


Mchezaji Wa Chelsea Didier Drogba akipata matibabu mara baada ya kugongana na Kipa wa Norwich John Ruddy katika Mechi ya ligi kuu Uingereza ambapo Chelsea iliifunga Norwich Magoli 3 kwa 1


Chelsea's Juan Mata scoring their third goal


Juan Mata Mchezaji Wa Chelsea alipoiandikia timu yake ya Chelsea Goli la Ushindi la Tatu na kuifanya Chelsea Kumaliza mechi hiyo kwa kuwatungua Norwich City 3 - 1Hatimaye timu Ya Chelsea leo imeweza kuibuka Mshindi kwa Kuitungua magoli 3 kwa 1 timu ya Norwich katika Mchezo Huo Wa Leo wa ligi kuu uingereza na kuifanya Chelsea kukaa kileleni ikiwa na Jumla ya Point 7. Na Mpaka Sasa Mchezaji Wa Man United Dimitar Berbatov anaongoza kwa kuwa na magoli 20 akiwa sawa na Mchezaji Mwenzake Wa Zamani Ambaye Sasa ni Mchezaji Wa Man City Carlos Tevez akiwa na Magoli 20. Picha Kwa Msaada wa MtandaoPost a Comment

 
Top