Menu
 


Mwanadada aitwaye FANTASIA BARRINO week-end hii alipokuwa stage aliutangazia umati wa mafans wake rasmi kuwa ana ujauzito ambapo hakumtaja mwanaume ambaye kamsababishia ujauzito huo.

Fantasia ambaye ni mkali wa ngoma ya When I see U, amewahi kuwa mshindi wa mashindano ya Urembo ya American idol, amekuwa akikumbwa na mikasa mbalimbali ikiwemo ya kunywa sumu na kutaka kujinyonga.

Sababu za kujinyonga zinasemekana kuwa ni mikasa ya kimapenzi ndiyo iliyokuwa ikimpelekea kuthubutu kujiua lakini kwa sasa amekuwa mwenye furaha na maisha yake ambapo  baba yake mzazi pia kathibitisha hilo.

Post a Comment

 
Top