Menu
 

Hofu ya kupimwa ugonjwa wa UKIMWI, kaswende, kisonono pamoja na homa ya ini imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi mkoani Mbeya kuchangia damu salama kwa hiari.

Hayo yameelezwa na Dakta Barima Lelo wakati wa mahojiano na bomba fm ofisini kwake kuhusu mpango wa uchangiaji wa damu salama.

Dakta Lelo amesema wahitaji wa damu salama wamekuwa wakiongezeka kila siku huku idadi ya wachangia wa damu salama ikipungua hali inayopelekea kituo hicho kushindwa kutoa huduma yake kikamilifu.

Post a Comment

 
Top