Menu
 
Askari
wa Jeshi la Polisi (wakati ukoloni) wakionyesha uniform wakati Ukoloni
mbele ya Rais Jakaya Mrisho kikwete leo mjini Dar es salam wakati wa
kuadhimisha miaka 95 ya Jeshi hilo iliyokuwa inakwenda sanjari na
maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru. Sherehe hizo zilikwenda sanjari na
mahafali ya kufunga mafunzo ya wahitimu wa kozi ya Maofisa na Ukaguzi
wa Jeshi la Polisi.


Askari
wa Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Rais Jakaya Mrisho kikwete leo
mjini Dar es salam wakati wa kuadhimisha miaka 95 ya Jeshi hilo
iliyokuwa inakwenda sanjari na maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
Sherehe hizo zilikwenda sanjari na mahafali ya kufunga mafunzo ya
wahitimu wa kozi ya Maofisa na Ukaguzi wa Jeshi la Polisi.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wageni mbalimbali waliohudhuria
maadhimisho ya miaka 95 ya Jeshi la Polisi nchini inayokwenda sanjari
na miaka 50 ya Uhuru. Sherehe hizo zilikwenda sanjari na mahafali ya
kufunga mafunzo ya wahitimu wa kozi ya Maofisa na Ukaguzi wa Jeshi la
Polisi.Picha na Vincent Tiganya-Maelezo

Post a Comment

 
Top