Menu
 

Huku Serikali ikipiga kelele ukosefu wa Pesa baadhi ya wayendaji wametafuta mianya ya kufuja pesa, kwa kukarabati barabara jijini Mbeya Isanga na Meta kwa kumwaga kokoto za milimita 5 bila lami wala saruji hivyo kuhatarisha wananchi wanaoishi eneo hilo kuvunjwa vioo vya nyumba zao baada ya magari kupita kwa kasi kutokana na madhara ya mawe hayo kuruka ambapo yamemwangwa na halmashauri ya jiji.

Hili ni Eneo la Isanga karibu na Kanisa la Moraviani Jijini Mbeya ki-ukweli barabara hiyo inatia kichefu chefu sana jamani. Tumieni wataalamu katika kufanya ukarabati wa barabara hizi jamani.!! 

Post a Comment

 
Top