Menu
 

 Duka hili lina milikiwa na Bwana Musa Mwanabeya ambaye ni mmoaja kati ya watu wa nne waliomuuaji kijana moja hakufahamika jina lakini ni mkazi wa Uyole jijini Mbeya.
 Hali kadharika na hili linamilikiwa na Bwana Musa Philemon ambaye naye ni Muuaji.
 Na hili linamilikiwa na Bwana Japhet Walenjela ambaye naye ni muuaji
Picha hii ni moja ya picha ya juu hapo ya duka la Japhet.

*Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya.
*Hali hiyo ndio iliyopelekea wananchi 11 kati ya 1200 wanashikiliwa na Jeshi la polisi kufanya maandamano bila kibali siku ya Jumapili asubuhi na Polisi kufanikiwa kuwatawanya watu wengine kwa kutumia Mabomu ya machozi

Ikumbukwe kuwa Watuhumiwa wa tukio hilo ni Musa Mwanabeya, Musa Philemon, Japhet Mwalenjela na Mwashinga ambao mpaka sasa wamefikishwa Kituo cha Polisi cha Kati, jijini Mbeya jirani na Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya.

Post a Comment

 
Top