Menu
 

Naibu Waziri wa Kilimo chakula na ushirika Mhe Eng Christopher Chiza akikabidhi mkasi mara tu baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa maonnyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mjini Mbeya
Wanafunzi wa shule mbali mbali nao walikuwepo kwenye ufunguzi huo
ACCESS COMPUTER LTD wauzaji wa vifaa vya computer wakiwa tayari kuwahudumia wateja wao
Moja ya watumishi wa benki kuu ya Tanzania akitoa maelekezo kwa mkulima alietembelea banda la BOT
EXIM BANK nao hawakuwa mbali na wakulima kuwapa tia huduma ya kujiunga na banki hiyo uwajani hapo
Furahia nane nane
TTCL nao hawapo nyuma katika kutoa huduma uwanjani hapo
Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi wa nane nane jijini mbeya
 Viongozi wengine wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi 
 Kwa hisani ya Mbeya Yetu 

Post a Comment

 
Top