Menu
 


Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo akifunga maonyesho ya kilimo nyanda za juu kusini jijini mbeya kwenye kiwanja John Mwakangale
Waziri David Mathayo akipokea maandamano 
Waziri akipata maelezo toka kwa mkuu wa wilaya Mbeya Evance Balama alipotembelea bada la halmashauri ya wilaya ya mbeyaUmati mkubwa wa wananchi waliohudhuria maonyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mbeya
Zawadi mbali mbali zilitolewa kwa washindi

Moja ya watumishi wa shirika la simu TTCL akipokea cheti cha ushindi wa banda lao katika maonyesho hayo
Baadhi ya wateja wakipata maelezo katika banda la Vodacom
Mzee kyando wa kikundi cha huzuni cha baba wa taifa alikuwepo


Kama kawaida wachina hawakosi katika maeneo haya kuchemkia biashara ya maua
Picha zote na Mbeya yetu Blog


Post a Comment

 
Top