Menu
 

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi na waandishi wa Clouds Media Group alipotembelea ofisi za kampuni hiyo Mikocheni Dar es Salaam, leo.
Nape akionyeshwa na Ruge Studio za kisasa za Clouds Tv zilivyo
Cuthbert Kajuna mtayarishaji wa jarida la Kita Ngoma linaloandaliwa na kampuni hiyo,akimkabidhi Nape nakala ya jarida hilo alipoingia katika ofisi za utayarishaji wa jarida hilo ambalo ni miongoni mwa majarida yanayosisimua sana hapa nchini. Katikati ni Ruge Mutahaba
Mkurugenzi Mtendaji wa Cloud Media Group, Joseph Kusaga (kushoto) akisalimiana na Nape wakati wa ziara hiyo. Katikati ni Ruge.
Ruge akiagana na Nape mwishoni mwa ziara hiyo.

Post a Comment

 
Top