Menu
 

Salam!!
Bibi na Bwana CHIMBUKO LETU ENTERTAINMENT leo inakuletea mdau wetu Track hii ya msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayeitwa FESTO HAULE mkazi wa Ilemi Darajani jijini Mbeya Tanzania ambaye kabila lake ni Mngoni.

Na unaruhusiwa kuingia You Tube na ku- share kwa marafiki zako na like it. Click here http://www.youtube.com/watch?v=Pmq2vN2Nzo8 
Jina la Msanii:-FESTO G featuring D BRAIN & AWILO PETRO
Jina la Wimbo:- SIELEWEKI
Prodyuza:- ZESTI MKALI
Studio:- MOJAMOJA RECORDS
Mwasiliano:- +255764240440
                      +255656117664

Asante! 
Kwa pamoja tunaendeleza Habari na Burudani asanteni 

Post a Comment

 
Top