Menu
 

Wachezaji wa Simba SC Bungeni Dodoma leo na Ngao yao ya Jamii
waliyoishinda kwa kuifunga Yanga bao 2-0 katika mchezo wa kufungua pazia
wa ligi kuu ya Vodacom
Ngao ya Jamii iking'ara mjengoni
Ankal ndani....dah!
Wachezaji na maafisa
Felix Sunzu (kulia) na afisa wa Simba
Kocha wa makipa Iddi Pazi 'Faza' akiwa mjengoni na vijana
Nahodha Juma Kaseja akiwa kashikilia Ngao ya Jamii mjengoni
Simba wakitoka mjengoni wakiwa wamezongwa na mashabiki wao
Picha ya Pamoja na waheshimiwa
Furaha tupu Bungeni Dodoma leo
Waziri
wa Ardhia Profesa Anna Tibaijuka na Mbunge wa Tabora ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden Rage wakipozi na 'watoto'
Taswira zote kwa Hisani ya Issa Michuzi Blog


Post a Comment

 
Top