Menu
 


 MSIMAMIZI WA MITANDAO YOTE YA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AKIWA ANAWANGOJEA WADAU KABLA YA KUFUTURU
 MISOSI KIBAO ILIKUWEPO HII NI MISHIKAKI YA KIARABU
 MUDA MCHACHE KABLA YA KUANZA KUPATA FUTARI LA NGUVU LILILO ANDALIWA NA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED KWA WADAU WAO
 NIKIWA NA MMOJA YA WAGENI WAALIKWA JIONI YA LEO 
 TUKIPATA PICHA YA PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA KABLA YA KUENDELEA NA FUTARI JIONI YA LEO
 HAPA SASA KAZI YA KUFUTURU IMEANZA AMBAPO WADAU WANAPATA MSOSI BILA MANENO
 MAPUMZIKO MAFUPI KABLA HATUJAENDELEA SANA NA KUFUTURU JIONI YA LEO 
 MSIKITI AMBAO TULIENDA KUSWALI KABLA YA KUWAFUTURISHA WADAU 
 HAPA NI UPANDE WA SALAD KIBAO WAKATI WA KUWAFUTURISHA WADAU WA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED
 BAADA YA KUSHIBA FUTARI WADAU WALIPATA MUDA WA KUPATA PICHA YA PAMOJA NA MSIMAMIZI WA MITANDAO YOTE YA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED LEO JIONI
===
WAKATI TUNAELEKEA UKINGONI KWA MFUNGO KWA NDUGU ZETU WAISLAM TONE MULTIMEDIA COMPANY AMBAO NI WAMILIKI WA MITANDAO YA 

SUKU YA  LEO WALIPATA NAFASI YA KUJUMUIKA NA WAISLAM WENGINE WOTE KUFUTURU KWA PAMOJA  AMBAPO MSIMAMIZI WA MITANDAO HII YOTE FREDY TONY NJEJE ALIMWAKILISHA MKURUGENZI KWA NIABA YA OFISI NZIMA, KATIKA FUTARI HIYO WALILIKWA WATU WACHACHE KUWAKILISHA WADAU WETU WOTE. TUNASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU NA TUNAWATAKIA SHEREHE NJEMA.

Post a Comment

 
Top