Menu
 Meneja wa kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro akizungumza na waandishi wa habari jioni ya leo jijini la Dar wakati wa hafla fupi ya ftari iliyoandaliwa kwa ajili ya warembo wa kanda tatu za jijini Dar (Ilala,Temeke na Kinondoni) pamoja na waandishi wa habari iliyofanyika kwenye hoteli ya City Garden iliyopo katikati ya jiji la Dar.
Baadhi ya Warembo wa Kanda tatu za jijini Dar es Salaam,wakiwa katika maandalizi ya kupata ftari jioni ya leo kwenye hoteli ya City Garden jijini Dar.
Baadhi ya Warembo wa Kanda tatu za jijini Dar es Salaam wakipata ftari ya pamoja na baadhi ya Waandishi wa habari leo jijini Dar.
Meneja wa kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya warembo wa Kanda tatu za jijini Dar,mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya ftari iliyofanyika jioni ya leo kwenye hoteli ya City Garden,jijini Dar.

Post a Comment

 
Top