Menu
 


Meneja
Huduma wa Bidhaa za Vodacom, Elihuruma Ngowi akifafanua jambo juu ya
huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011
katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam jana.
Afisa
Utawala wa Huduma ya M Pesa kutoka Vodacom, Emmanuel Pallangyo akigawa
viperushi vilivyo na maelezo ya namna huduma ya M Pesa kwa washiriki wa
Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la
Vodacom jijini Dar es Salaam jana
Baadhi
ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakijisajili
katika huduma ya M Pesa baada ya kupata semina juu ya faida na umuhimu
wa kuwa umejisajili katika huduma hiyo jana wakiwa Kambini katika Jumba
la Vodacom
Washiriki
wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha na mabaunsa
waliovalia vazi la M Pesa “Super Man” baada ya warembo hao na wenzao
kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma
ya M Pesa jana wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom.Post a Comment

 
Top