Menu
 

 Waumini katika Mkutano wa Injili huko kijiji cha Mapogoro Wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Kijiji hiki kimebahatika kuwa na Muwekezaji  wa Mashamba ya Kapunga ambayo huzalisha Mpunga.

Najuma ya wananchi 139waliokoka wakiwemo wakulima na wafugaji. 
 Bi Roda Saitoti akieekea katika eneo la Mkutano wa semina alishindwa kujizuia na hivyo kuanza kuimba akiwa katika baiskeli yake.

 Mtangazaji wa kituo cha redio cha Ushindi  FM Teddy
 Mjasiriamali aliyebuni Soketi za Umeme kwa kutumia Mbao anapatikana jijini Mbeya ambazo zinaubora kuliko hata za dukani, vile vile zinauwezo wa kuchaji zaidi ya simu arobaini .

Nahuunzwa kuanzi shilingi 15,000/= mpaka 50,000/= za kitanzania kutokana na ukubwa na size unayoihitaji. 

 Teddy akiangali bidhaa za umeme kwa makini huku akifanya nae mahojiano nje ya studio za Ushindi FM redio.
 Jeremiha Mwakajelenge Mkurugenzi wa JGP Production
 Mashabiki ndani ya ukumbi
 Tamasha liligeuka kuwa Ibada ambapo watu walimshukuru Mungu na wengine Kuponywa kupitia Tamasha hilo.

 Bibi ambaye aliombewa na Kutembe Mwenyewe katika Tamasha hilo.
 Fimbo ya Mlemavu aliyefika katika mkutano huo baada ya Maombi alitembea Mwenyewe
 Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Baraka FM jijini Mbeya Bw Mboka Mjafula
 Anastasia Mukabwa akiwa kwenye gari maalumu kuelekea Ukumbini
Mkurugenzi wa Malafyale Entertainment ambaye pia ni Mtangzaji wa kituo cha Redio Baraka FM Bw. Charles Mwaipopo akielekea Ukumbini.
 Anastansia Mukabwa akiingia Ukumbini huku akipunga mkono kwa lengo la Salamu
 Anastazia akifanya Maombi.
 MC Obadia Simon akimkaribisha Anastanzia Mukabwa na Pembeni ni Wacheza show wake.
 Mwimbaji Debora Mwaipopo katikati akiwa na wacheza show wake.
 Waimbaji mbalimbali waliolikwa katika Tamasha hilo akiwemo Happy Kamili anayetamba na wimbo wa Mpango wa Mungu.
 Happy Kamili akiwa na Wacheza show wake wakijipanga kutoa Burudani
 Happy Kamili akiimba
                                                                   Happy akicheza
 Happy akiimba sambamba na kucheza mbele ya Jukwaa katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya.
 Washabiki waliojitokeza wakiwa wanafuatili burudani kwa makini
 Mwimbaji Musa Mwasakyungu akiimba wimbo wake wa Bulenge.
 Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini kutoka mkoani Mbeya G7 akiwa na wacheza show wake ambao ni watoto wake.
 Watoto wa Mwimbaji G7 ambao ni wacheza show wakimsindikiza Baba.
 Kiduku mpaka kwenye Gospel ni mtoto wa kike wa Mwimbaji G7 akitoa burudani.

 Hosea Mgaya na Timu yake kutoka Tunduma akiimba wimgo wa Katika Vita na Shetani.
 MC Obadia Simon akiwa na MC mwenzake ambaye pia ni Mwandishi wa Habari Mwakibesile
 Anastazia Mukabwa akizungumza Nneo nyuma yake akiwa na wacheza show wake.
      Wacheza show wa Mukabwa wakitoa Burudani.
Anastazia Mukabwa akiimba.

Tunapenda kutanguliza shukrani zetu  kwa kutembelea mtandao huu, Picha zote na mpiga picha wetu Bwana Ezekiel Richard Kamanga.

Post a Comment

 
Top