Menu
 


Mwanablogger Nova Kambota akiwa na watoto Morogoro vijijini.
Natoa wazo “ukweli mchungu ila una manufaa” sasa naomba nitofautiane na watanzania wenzangu kuelekea siku kuu ya Idd Elfitri, mimi sitatoa mbuzi, sitatoa mchele wala soda, bali natoa zawadi itakayoishi milele kuanzia kwa watoto wetu mpaka wazee wetu, Idd Mubarak watanzania wenzangu “NAOMBA TUJENGE UTAMADUNI WA KUPENDA KUJISOMEA DAIMA”
Mtembelee Nova Kambota BONYEZA www.novakambota.com

Post a Comment

 
Top