Menu
 


Gari aina ya Mitsubishi Pajero likiwa eneo la tukio mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo mbaya siku ya Alhamisi majira ya saa 11:30 jioni barabara kuu ya Singida Nzega kilomita 15 kutoka mjini singida na kusababisha vifo vya watu watano na kujeruhi watatu akiwemo mtoto mdogo wa miaka miwili.
Mtoto Yohanes Josephat (2) akiwa wodi namba mbili na msamaria mwema akiuguza jicho baada ya kutokea kwa ajli hiyo ambayo wazazi wote wawili walifariki dunia
Picha kwa hisani ya mtaa kwa mtaa Blog

Post a Comment

 
Top