Menu
 

 Mtandao huu ulishuhudia baadhi ya Wazoaji wa uchafu huo wakiwa hawana vitendea kazi vya kutosha, baada ya kufanyakazi bila Mask, Glovies na Gumboot
Kabla ya kuzolewa. 
Dampo hili ni hatari kwa wanafunzi kwani lipo jirani na Hospitali ya Uhai Baptist na Shule ya Msingi Mwenge, eneo la Soweto jijini Mbeya kwani watoto wamekuwa wakikusanyika na kuokota mazagazaga kibao kama Nyembe ambazo huokota kwa ajili ya kukatia kucha na kuchongea Penseli, Nywele na Masalia ya vyakula.

Eneo hili ki ukweli limekithiri kwa uchafu haifahamiki takataka huzolewa saa ngapi kwani wakati wowote ukipita hakuna unafuu.

Post a Comment

 
Top