Menu
 


*Watu 8 wahofiwa kupoteza maisha akiwemo dereva wa pikipiki.

*Majeruhi wakimbizwa hospitali ya Rufaa Mbeya na wengine katika hospitali ya wilaya ya Mbozi.

*Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa moja usiku ikihusisha mpanda pikipiki ambayo haikuweza kufahamika mara moja nambari yake.

Chanzo cha ajali hii ni Trekta ambalo liliingia barabarani likiwa halina taa, ndipo dereva wa Toyota Prado ali[ojaribu kulikwepa akaavaana uso kwa usona na gari ya abiria.

Post a Comment

 
Top