Menu
 

1.Ni mwanafunzi wa shule ya sekondari Iwalanje, kidato caha Tatu akiwa na sare za shule baada ya kukamatwa akiwa shule, asota polisi wiki ya tatu pila kufikishwa mahakamani. Mzazi wa mwanafunzi wa kike achukua shilingi 180,000/= za kitanzania baada ya kubanwa na mtandao huu azirejesha mbele ya Mkuu wa Polisi  Kituo cha Kati jijini Mbeya zikiwa pungufu.

2.  AFISA MTENDAJI WA KIJIJI CHA UTENGULE USANGU ATIMULIWA NA WANANCHI OFISINI.
Baada ya kushindwa kusoma taarifa za mapato na matumizi kwa wananchi wake.

 ENDELEA KUTEMBELEA MTANDAO HUU KUPATA HABARI KAMILI.
 

Post a Comment

 
Top