Menu
 

 Chege akifanya meditation kabla ya makamuzi
 Chege akipandisha mzuka
 Dj Ritchie kutoka bongo Dj akifanya makamuzi 
 kutoka kushoto Muddy,Dj Ritchie, Kova Jnr na Dj Rule
 Makamuzi ya nguvu kutoka TMK yakiendela
 Misosi nayo ilikuwa ya kumwaga
 Miss Jestina(katikati) akila pozi na wadau waliokuja kwenye show ya TMK
 Temba akifanya vitu vyake
 TMK wakila pozi na fan wao baada ya makamuzi
Wazee wa TMK wakiwa na promota wao kabla ya show 1857
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea matukio katika show ya TMK iliyofanyika jijini London, Ilford ukumbi wa Empire Suite jumamosi tarehe 3 septemba 2011. Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na MISS JESTINA BLOG.

Post a Comment

 
Top