Menu
 

Salamu!!
Ngoma hii imeachiwa rasmi siku hii ya leo Ijumaa September 9, Ambapo lengo la kuachiwa kwa ngoma hii, leo ni siku ya kuzaliwa kwa mama Mzazi wa msanii O-Key Gethochild ambaye ni Mwanamemba wa Kundi la Mexicana Lacavela ............... kwa hiyo ni special dedicatio to mama yake.

Kijana O-Key Gethochild ambaye jina kamili ni Octavian Thomas anatokea Pande za Keko Mwanga, Temeke Jijini Dar es salaam.

Katika YOU TUBE waweza kuipata hapa gonga hapa/click here http://www.youtube.com/watch?v=5GNOc6sAg-4

Artist: O-Key Ghettochild Ft Fidodido
Tittle : Nipishe
Producer: Mesen Selekta
Studio : De Fatality International Music
Mawasiliano:(O- Key)- 0713 055527 

Post a Comment

 
Top