Menu
 

Waandishi wa habari wakisaidia kumsaidia Mbunge wa Viti maalum Dk Mary Mwanjelwa kufungua taili la lilolopata Pancha wakati akienda kutoa msaada wa Magodoro 60 katika hospitali ya Wilaya ya Itumba - Ileje, ambayo ni kwa ajili ya matumizi ya chumba cha wazazi na watoto. (Kushoto ni Solomon Mwansele wa Uhuru na Joachim Nyambi wa Habari leo)
 Dk Mwanjelwa akiwasili katika katika Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Ileje Bi Ester Wakari.
 Mkuu wa wilaya ya Ileje Bi Ester Wakari akijiandaa kupokea ugeni wa baraka.
  
Dk Mwanjelwa akisalimiana na Katibu wa Umoja wa wanawake wilaya ya Ileje
Daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Ileje Ronatus Kilolo akimuongoza Dk Mwanjelwa kukagua Vitengo vya huduma mbalimbali zitolewazo na Hospitali yake.
Wabunge wakimfurahia mtoto aliyezaliwa siku ya jana katika ziara yao hospitalini hapo na kubaini kuwa kuna upungufu wa vitanda vya Kujifungulia akina Mama wajawazito.Wageni na wenyeji wakiongozana na Dk Mwanjelwa na kutembelea maeneo mbalimbali ya hospitali hiyo
Wageni na wenyeji wakiongozana na Dk Mwanjelwa na kutembelea maeneo mbalimbali ya hospitali hiyo
  Magodoro 60 ambayo yametolewa na msaada wa Mbunge wa viti maalum Dk Mwanjelwa katika Hospitali ya Wilaya Itumba Ileje.
 Mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ileje Ronatus akipogea magodoro hayo yaliyotolewa kwa msaada na Mbunge Vitimaalum Dk Mwanjelwa.
 Dk Mwanjelwa akivishwa Skafu kukaribishwa katika Mahafali ya Kidato cha Nne katika shule ya Sekondari Ndola Ileje.
Dk Mwanjelwa akiwahutubia wa hitimu wa kidato cha nne na kuwaasa kuzingatia elimu na kuaidi kuipa shule hiyo ya Sekondari vitabu Maboksi mawili. 
Mbunge Vitimaalum Dk Mwanjelwa akiwa katika picha moja na wahitimu wa Kidato cha nne katika shule ya sekondari Ndola Ileje.

Dk Mary Mwanjelwa atamailizia ziara yake ya utoaji wa Msaada wa Magodoro jumatatu ijayo katika hospitali ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Mbeya.

Katika utoaji wa misaada hiyo ya Magodoro unaendelea kutolewa ambapo Hospitali ya Meta walikabidhiwa magodoro 60, Mwanjelwa walikabidhiwa magodoro 60, na Hospitali ya Ileje magodoro 60, Hospitali ya Mbozi magodoro 59 na Mbeya vijijini magodoro 14.

Dk Mary Mwanjelwa kwa siki ua jumapili atakuwepo katika kanisa la Moravian Ruanda jijini Mbeya ambapo atakabidhi msaada na vyombo vya kuhubiria vyenye thamani ya shilingi milioni tatu.
Kwa ushirikiano wa Kamanga na MatukioMbeya Yetu na Chimbuko Letu.

Post a Comment

 
Top