Menu
 

 Katikati mwenye koti jeusi diwani wa kata ya Tunduma Mheshimiwa Frank Mwakajoka Baada ya wafanyabiashara kushindwa kufanyabiashara zao na kupelekea kufunga kutokana na vurugu zilizotokea za kupingwa ucheleweshaji wa matokea ya uchaguzi nchini Zambia sasa ni shwari na wananchi wameanza kuvuka mpaka na wafanyabiashara kurejea katika shughuli zao.
 Baadhi ya wananchi waishio mji mdogo wa Tunduma waliokuwa wamekusanyika sehemu moja baada ya kufungwa kwa biashara zao.
Madereva wakielekea kukamilisha ushuru wa forodha na kukamilisha taratibu za kuvuka mpaka kuelekea nchini Zambia na Kongo.

Post a Comment

 
Top