Menu
 

 Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba.

Wananchi mji mdogo wa Mbalizi wakishangaa tukio hilo.
Taswira ya mbele ya Lori hilo lililosababisha hasara kumbwa.

Gari lenye T.438 BRT aina ya Landover, mali ya mchungaji Nduka wa kanisa la Uinjilist Mbalizi. Ambalo liligongana na Lori hilo.

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha DIT kilichopo Dar es Salaam , Marehemu Dickson Nswila, ambaye alikuwa akielekea kwenye mazoezi ya vitendo TAZARA, jijini Mbeya

Mfanyabiashara wa mitumba, mji mdogo wa Mbalizi Marehemu Charles Mwakanyuma.
Marehemu Mariam Side mwenye umri wa miaka 31, 
Tunawapa pole ndugu wa marehemu waliopatwa na msiba huu "MWENYEZI MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA".

Post a Comment

Anonymous said... 23 September 2011 at 11:51

mhh jaman inasikitisha sana hizi ajali tunakwisha

Anonymous said... 23 September 2011 at 11:57

hajali hizi ili zipungue au ziishe kabisa inatupasa wananchi kushirikiana na polisi kwa kutoa taarifa ya hali mbaya ya gari au dereva kabla ya gari kwenda barabarani au dereva mlevi au mzembe

UKURASA MPYA HUU said... 24 September 2011 at 01:50

Sasa ndugu zanguni hilo ni jambo la msingi sana na limeniinga akilini cha msingi ili kuepusha ajali hizi tunapaswa kupigania haki kwa kushirikiana na Polisi bega kwa bega.

 
Top