Menu
 

Kama inavyoonesha katika picha, mtoto huyo akiwa anateka maji katika kijiji cha Ndola wilayani Ileje ambapo maji yamekuwa yakipatikana ki urahisi tofauti na Tunduma na Mbeya mjini ambapo wananchi wamekuwa wakilazimika kuamka usiku wa Manane kupanga foleni hali ambayo inatishia kwa akina Mama kubakwa....... 

Maeneo yanayoongoza kwa kukatika kwa Maji kwa muda mrefu ni pamoja na Sai, RRM, Itenzi, Tunduma na mengine mengi.

Post a Comment

 
Top