Menu
 

 Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya Msingi Kambarage iliyopo jijini Mbeya wakifurahia na kushangialia baada ya kumaliza kufanya mtihani wa darasa la saba ambao umemalizika na kuwapa fursa ya kusubiria Sherehe rasmi ya Kuangwa itakayofanyika wakati wowote kuanzia sasa. Wanafunzi wengi wameshangilia na kujawa furaha kubwa, Je? furaha hii inaweza rudiwa tena wakati wa matokeo kutangazwa au wengine wameshiriki tukio hili kwa kuiga mkumbo tu, kwa sababu wengine watabaki mtaani wakisota.
Zoezi la ufungaji Mitihani likiendelea, ambapo sasa wanafunzi hao wanafikishwa kwa Pilato kupitia kile walichokifanya, ba kutolewa uamuzi kuwa ni nani na yupi anafaa kuendelea na masomo ya kidato cha Kwanza.

Post a Comment

 
Top