Menu
 


Huyu ni Mwenyekiti wa TANZ-UK Dr John Lusingu.
Kwa niaba ya jumuiya ya watanzania waliopo nchini uingereza chini ya Mwenyekiti wa TANZ- UK taifa imesikitika sana na kuwapa pole watanzania wenzetu wa zanzibar kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa. Watanzania wote tulio hapa tunaungana nanyi  kwa pamoja katika wakati huu mgumu na  pia tuko tayari kushirikiana kwa hali na mali kuwafariji ndugu na jamaa kwenye msiba huu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA

Mwenyekiti TANZ- UK.                           
               
Dr John Lusingu

Post a Comment

 
Top