Menu
 

 Wananchi wa Kata ya Isyesye wamekuwa wakilazimika kuamuza usiku wa manane ili kupata Maji kutokana na maji hayo kutoka nyakati za usiku na mchana mara chache, hali hiyo imekuwa hatari kutokana na wanawake kubakwa na wengine kunusurika.
 Wananchi wakiwa katika foleni wakisubiri Maji, Vijana wajipatia ajira ya kubeba maji hayo kupitia Mikokoteni, ambapo ujira huo hulipwa shilingi 200/= za kitanzania kwa ndoo moja kulingana na umbali.

Post a Comment

 
Top