Menu
 Dampo hili baada ya kutumika kutupa taka, mara kwa mara limekuwa likitumika pia kutupa Watoto wachanga kama picha inavyonesha ambapo mtoto huyo akiwa na siku moja toka atupwe. Ikumbukwe katika jamii kuna watu ambao wanahitaji kupata watoto lakini imekuwa ikishindikana na walipewa bahati ya kuzaa wamekuwa wakichezea uzao wao pasipo huruma, na kutojali kuwa wakimkufulu Mwenyezi Mungu. Tukio hili limetokea mtaa wa Kadege jijini Mbeya.
Wakazi wa mtaa Kadege kata ya Forest jijini Mbeya wakishangaa tukio hilo linalosikitisha
Vijana wengine hao pia wakifuatilia/kutizama kichanga hicho.
Akina mama nao. hawakuwa nyuma na hivyo kulaani tabia hiyo.
 

Post a Comment

 
Top