Menu
 


Wakazi wa kata ya Gombe Uyole jijini Mbeya licha ya kukesha kucha nzima bombani na wakisubiri kwa zamu ilikuweza kupata maji mpaka sasa hali ni ngumu kutokana na maji kutotoka kwa muda wa wiki nzima sasa.

Kumekuwa na uhaba wa maji mara kwa mara hasa kipindi cha kiangazi, lakini kwa mujibu wa wananchi wa eneo hilo wamedai kuwa mwaha huu tatizo hilo limekuwa kubwa kuliko miaka mingine iliyopita.


Mama huyu mkazi wa Itezi jijini Mbeya ambaye akifua baada ya Mmewe kumletea maji kutoka Mjini, ambapo ni umbali wa kilomita kumi kutoka eneo hilo wanaloishi

Post a Comment

 
Top