Menu
 

 Moto wenye utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.Marehemu amekaa chumba hicho kwa muda wa siku mbili na alikuwa anadaiwa shilingi elfu hamsini ya bili ya vinywaji. Balozi wa mtaa wa Ilolo Bwana Lukomano Mwakatobe amesema ni tukio la pili kwani kwa mwaka uliopita Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sangu, marehemu Bernad Ndolela alifariki katika mazingira ya kutatanisha katika nyumba hiyo.
Mwili wa marehemu Ansen Mtono ukichukuliwa na Jeshi la Polisi baada ya kufariki dunia katika chumba cha Bar ya Omega   inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.
Mashuhuda waliofika eneo la tukio la Moto wenye utata ulioteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.
Jeshi la polisi mkoani Mbeya lenye nambari PT 0796 likiondoka na mwili wa marehemu Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia baada ya moto wa utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.

Post a Comment

 
Top