Menu
 

HIVI NDIVYO NDEGE ILIVYOUMIA BAADA YA KUANGUKA ENEO LA NANE NANE UYOLE MBEYA
ABIRIA WA NDEGE WAKIWA NA FURAHA MARA BAADA YA KUNUSURIKA KIFO KATIKA AJALI HIYO ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI NANE NANE UYOLE MKOANI MBEYA
NDEGE INAVYOONEKANA BAADA YA KUPATA AJALI

RUBANI WA NDEGE NAMBA 9J-BIO SESINA 206 AKIPATA HUDUMA YA KWANZA PAMOJA NA ABIRIA WENGINE WALIO KUWEMO KATIKA AJALI HIYO
 BAADHI YA WATU WALIOFIKA ENEO HILO LA TUKIO KUTOA MSAADA BAADA YA AJALI HIYO
MMOJA YA ABIRIA ALIYEKUWEMO KATIKA NDEGE HIYO AKITOA MAELEZO MACHACHE JUU YA AJALI HIYO
ENEO LA MBELE
== == = = = == == =
HABARI KAMILI

Ajali ya ndege namba 9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi majira ya saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.

Abiria walionusurika kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa EXPORT TRADING.

Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.

Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA


Post a Comment

 
Top