Menu
 

Haya ni mabaki ya mabati na vyuma vilivyoteketea kwa moto
Moto bado unaendelea kuwaka taratibu huku watoto wakiokota mabaki ya bidhaa mbali mbali zilizoungua na moto
Vibaka wakitoka na vyuma chakavu katika banda la sido lililoungua kwa moto
Mabaki ya majiko ya mkaa na vigae vyake
soko limebaki ni uwanja tu hakuna kilichobakia

Umati wa watu wakiwa wamejaa kutazama soko lilivyo kwisha leo
Jengo la sido mbeya nalo limeteketea kwa moto

Post a Comment

 
Top