Menu
 

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesitisha kampeni zake za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kwa mfululizo wa siku tatu za maombolezo kutokana na msiba mkubwa wa Kitaifa wa vifo vya watanzania zaidi ya 270 vilivyotokea usiku wa kuamkia juzi kufuatia kupinduka na kuzama kwa meli ya MV Spices Islander eneo la Nungwi kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba. Kampeni za chama hicho zitazendelea kesho kutwa Jumatano tarehe 14. 9.2011. Anaripoti Victor Makinda kutoka Igunga

Post a Comment

 
Top