Menu
 

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza TANZ- UK inawaomba radhi wanajumuiya na watanzania wote kuwa shughuli za fund-Raìsing zilizokuwa zifanyike katika ubalozi wetu london siku ya jumamosi tarehe 17 septemba 2011 saa nane mchana zimeahirishwa. 

Taarifa zaidi zitawafikia hapo baadaye, tutawajulisha punde tu tutakapo pata habari kamili. Tafadhali mjulishe na mwenzako.
 
ASANTENI

MWENYEKITI,

TANZ-UK

Post a Comment

 
Top